send link to app

Dating.co.tz


4.0 ( 8240 ratings )
소셜 네트워킹
개발자: Heine Thunbo
비어 있는

Je, Unatafuta mwenza au mpenzi? App ya dating.co.tz itakukutanisha na masingo kibao ambao pia wanatafuta wenza.

Ukishajiunga na mtandao huu na kuufanya wasifu wako kuwa wa kuvutia zaidi, hatimae utaweza kutafuta mwenza wa ndoto zako anayekidhi vigezo vyako. Pale mwenza wa ndoto zako anapopatikana, unaweza kutumia kitufe cha kuchat ili kupanga siku ya kukutana nae au unaweza kuchat nae ili kufahamiana nae vizuri zaidi kabla hamjakutana.

App hii ni ya bure kwa 100% na kila siku tunakazana kuhakikisha App hii inakuwa bora zaidi ili kukuwezesha kutafuta mpenzi wa ndoto zako.